VIDEO GALLERY

Glory to God.

Dear beloved brothers and sisters in Jesus Christ.

Glory of Christ Tanzania Church in Morogoro is currently building the Biggest ever MEGA CHURCH BUILDING.

You can support us by donating whatever God has led you to give by using the following Bank account (CRDB Bank) or by Mobile Numbers (Tigo-Pesa & M-Pesa) as shown in the English/Swahili bulletins posted herewith:
 
 
 
 
===================MAY GOD BLESS YOU ==============
 
Utukufu.

Ndugu mtazamaji wa blog hii.

Kanisa la Ufufuo na Uzima Morogoro, tunaendelea na Ujenzi wa Jengo kubwa kuliko yote (Mega Church) kwa Mji wa Morogoro.

Ili kufanikisha azma yetu hii,  tunakuomba utuchangie kwa Akaunti ya benki inayoonekana katika kipeperushi cha Kiswahili na Kiingereza hapa chini.

Waweza pia kutuma mchango wako kwa Tigo-pesa au M-Pesa kadiri Mungu wetu atakavyokuongoza.
 
 
 
 
 
 

Powered by Blogger.

Pages