| Mchungaji Happyness Muhimbula (RP) akiongoza sifa |
| Platform choir wakimsifu Mungu kwenye mkesha wa ijumaa kuu ndani ya nyumba ya Ufufuo na Uzima Morogoro |
| Ni jeshi la Platform Choir wakiendelea kumsifu Mungu |
| Ni bahadhi ya watu wakimsifu Mungu kwenye mkesha wa ijumaa kuu |
| Mch. kiongozi Dr. Godson Issa Zacharia akiongoza mkesha wa ijumaa kuu |
| Mch. kiongozi akiendelea kufundisha kwenye kesha wa ijumaa kuu |
| Magreth Mwakyusa akimsifu Mungu |
| Bahadhi ya Platform wakimsifu Mungu |
| Emanuel Mkwabi nae akimsifu Mungu kwenye mkesha wa ijumaa kuu Ufufuo na Uzima Morogoro |
| Watu waki mchezea Mungu ndani ya nyumba ya Ufufuo na uzima Morogoro |
| Showers hawakuwa mbali kumchezea Mungu |
| Mungu wetu anastahili sifa |
| Mch. Happy akifundisha kwenye mkesha wa ijumaa kuu |
| Magreth Mwakyusa akimsifu Mungu katika mkesha wa ijumaa kuu ndani ya nyumba ya Ufufuo na Uzima Morogoro |
| Ufufuo na Uzima Morogoro |
| Mch. kiongozi akiendelea kufungua watu |
| Pastor Amos Komba (AP) Akiombea watu walio fika kwenye mkesha |
| Mch. kiongozi akiombea watu walio fika kwenye mkesha wa ijumaa kuu |





