Monday, August 5, 2013
Home »
»
Nisaa ya ufufuo na uzima sasa imewadia ndani ya mji wa morogoro nikuutekatu mji maana tuna mwamini yeye alie tuita kuifanya kazi yake kuwa leta watu wote kwa YESU awa wote unao waona wapo katika ibada wakiwa makini sana wakati...... Mch. kiongozi...SNP Dr. Godson Issa Zachariya wakati akifundisha somo......KUNANGUVU KATIKA KUMWABUDU MUNGU....Imeandikwa katika kitabu cha.....2. NYAKATI..5:13...hata ikawa,wenye panda na waimbaji walipokuwa kama mmoja, wakisikizisha sauti moja ya kumsifu na kumshukuru Bwana, nao wakipaza sauti pamoja na panda na toazi na vinanda, wakimsifu Bwana, wakisema, kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele, ndipo nyumba ikajawa na wingu, naam, nyumba ya Bwana..hata makuhani hawakuweza kusimama ili kufanya huduma yao, kwa sababu ya lile wingu, kwa kuwa nyumba ya Mungu imejaa utukufu wa BWANA...